mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Endeleeni kusema hivyo hivyo. Ndo wanaondoka na point tatu tatu .Biashara asubuhi.
Haya.Wote wabovu
Exactly, pamoja na kwamba anajua ila ubinafsi ni mwingi sana.Grelish ni mbinafsi sana mchezo wa jana aston villa wangepata goal zaidi ya 3. Lakini huyu grelish anaona kabsa wachezaji wezake wana nafasi nzuri ya kufunga yeye anaendelea na chenga zake tu mwisho ananyang’anywa mpira.
Angekuwa anatoa assit kama walivyocheza na liverpool jana tungeshuhudia aston villa goli 4-0.
Now Wana sprit ya kutosha ila mpaka msimu unafika Kati Kati kila mtu atarudi katika nafasi ake.Wakuu Salaam,
Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.
Mechi za karibuni ni hizi:
View attachment 1583872
Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?
Updated:
View attachment 1604730
WaTzWakuu Salaam,
Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.
Mechi za karibuni ni hizi:
View attachment 1583872
Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?
Updated:
View attachment 1604730
Kuna umuhimu wa Aston Villa kuachana kabisa na Samatta.
Samatta alikua mzigo pale ndy mana almanusura ishuke daraja
Kabisa.Aston villa baada ya samatta kuondoka imekuwa ya moto wa kuotea mbali[emoji16] yaani ni balaaaa, ukienda kizembe unakula goal 5 [emoji16]
Wabongo ni tatizo..