Aston Villa inashinda mechi ya 4 mfululizo, tatizo ilikua ni nini?

Aston Villa inashinda mechi ya 4 mfululizo, tatizo ilikua ni nini?

Grelish ni mbinafsi sana mchezo wa jana aston villa wangepata goal zaidi ya 3. Lakini huyu grelish anaona kabsa wachezaji wezake wana nafasi nzuri ya kufunga yeye anaendelea na chenga zake tu mwisho ananyang’anywa mpira.

Angekuwa anatoa assit kama walivyocheza na liverpool jana tungeshuhudia aston villa goli 4-0.
 
Exactly, pamoja na kwamba anajua ila ubinafsi ni mwingi sana.
Na vile kocha hawezi tena koroma mana timu isije ikashuka sasa daraja kama akikoromewa...
 
Wakuu Salaam,

Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.

Mechi za karibuni ni hizi:

View attachment 1583872

Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?

Updated:

View attachment 1604730
Now Wana sprit ya kutosha ila mpaka msimu unafika Kati Kati kila mtu atarudi katika nafasi ake.
 
Upepo ushageuka sasa, ngoja tuone mechi ijayo...
 
Aston villa baada ya samatta kuondoka imekuwa ya moto wa kuotea mbali[emoji16] yaani ni balaaaa, ukienda kizembe unakula goal 5 [emoji16]
Kabisa.
Aston Villa alimnyonyoa Liverpool ila kama Samatta angekuwepo basi Liverpool angeshinda 9 kwa 0
 
Back
Top Bottom