Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers.Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani.
Championship inawahusu hawa Aston Villa.
Aendelee kuisubiria tu hiyo mipira, ataipata mingi sana akiwa benchi.Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers.
πππππAendelee kuisubiria tu hiyo mipira, ataipata mingi sana akiwa benchi.
Game huangalii unakuja kuhitimisha hovyo samatta too much atapigea benchi tu kwani yeye nani game ilikuwa ngumu ileAston Villa njiani kwenda kule kunakohusika; dah mdogo wangu Samatta anatakiwa afanye kazi ya ziada kusevu jahazi.
Goli la pili lilikuwa la kijinga kweli kweli kweli; Samatta hakudumu sana uwanjani leo?.
View attachment 1366704
Yah hata beki pia haijakaa vema,wanaruhusu kushambuliwa,wanafanya makosa ya hovyo hovyoMidfielder yao mbovu kabisa