Aston Villa special thread (Blue army)

Aston Villa special thread (Blue army)

Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani.
Championship inawahusu hawa Aston Villa.
 
Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani.
Championship inawahusu hawa Aston Villa.
Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers.
 
Aston Villa njiani kwenda kule kunakohusika; dah mdogo wangu Samatta anatakiwa afanye kazi ya ziada kusevu jahazi.

Goli la pili lilikuwa la kijinga kweli kweli kweli; Samatta hakudumu sana uwanjani leo?.

1582403499721.png
 
View attachment 1366704
Game huangalii unakuja kuhitimisha hovyo samatta too much atapigea benchi tu kwani yeye nani game ilikuwa ngumu ile
 
Sasa wale mashabiki waliokuwa wanatukana klabu ya aston villa na wachezaji wake then hawana mchango wowote na klabu naona muda wao wa kurudi klabu zao za Arsenal na yanga simba umewadia

Championship loading..........
 
Samatta aongeze bidii kuiokoa timu,na kujenga rekodi nzuri ya ufungaji mabao.
 
Naamini kama villa wakishuka daraja samata atatolewa kwa mkopo
 
Back
Top Bottom