M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
hii Aston Villa sasa itakuwa ndiyo timu yangu ya pili kui support EPL hadi Samatta atakapohama.Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza.
Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama.
Kuwa around mambo zaidi yanakuja
lakini wakicheza na chama langu Liverpool hakuna namna, sorry itabidi Samatta asubiri tu!