Aston Villa special thread (Blue army)

Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza.
Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama.
Kuwa around mambo zaidi yanakuja
hii Aston Villa sasa itakuwa ndiyo timu yangu ya pili kui support EPL hadi Samatta atakapohama.

lakini wakicheza na chama langu Liverpool hakuna namna, sorry itabidi Samatta asubiri tu!
 
hii Aston Villa sasa itakuwa ndiyo timu yangu ya pili kui support EPL hadi Samatta atakapohama.

lakini wakicheza na chama langu Liverpool hakuna namna, sorry itabidi Samatta asubiri tu!
Ile LIVA iliyopigwa kichwa na Samata..?
 
Duh wabongo hatuachi kitu.
Tumeamua tuanzish thread kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…