Aston Villa special thread (Blue army)

Punguza jaziba ,jibu swali ,umeandika kama muhanga wa Hamida

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio mimi mzee! Hujui hamida alichokuwa ananipa!

Kifupi umelolonganya! Ni swali la kipuuzi kuniuliza aston villa wanaipa ugali lah!! Soka ni starehe mzee! Mbona naishabikia taifa stars waninpa ugali, simba je wananipa ugali! Nikakutajia timu zoote nizipendazo! Je zinanipa ugali!

Kifupi uliuliza utumbo, sina jazba ila wewe uliuliza utumbo! Uliongea kama vile una PUMBU MOJA.
 
Kaza buti kijana Samatta... pambana uokoe jahazi
 
Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza.
Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama.
Kuwa around mambo zaidi yanakuja
Tupo pamoja kaka,
Niko hapa kuwakilisha Tawi la Buza kwa Lulenge...!!
 
Nitabaki Arsenal daima. Siwezi kupelekwapelekwa kama mlevi. Having said that, nampongeza Samatta kwa achievement hiyo.
 
Uzi maalumu wa mashabiki wa Aston Villa aka blue army toka siku ya kwanza.
Huku kijana wetu Mbwana Ally Samatta akiwa amemwaga wino hii inatupa sababu zaidi ya kulisuport hili chama.
Kuwa around mambo zaidi yanakuja
malimbukeni utayajua tu! ungezaliwa SENEGAL AU BRAZIL SIJUI UNGEFANAYAJE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…