Watanzania bwana. Aston Villa ikishuka ligue sijui mtajificha wapi ?
Me ni mshabikia wa Valencia ila nampa kila la kheriNampongeza samata kwa kusajiliwa Aston villa fc ,ya England akaze buti Sana
But mm cyo shabiki wa Aston villa mm n shabiki wa fc Bayern Munich ,mkumbo niepuke
Sent using Jamii Forums mobile app
AhaahahaahKwani arsenal wananipa ugali, atletico madrid walikuwa wananipa ugali! Simba wananipa ugali, taifa stars wananipa ugali!!!?
Usiandike comment yako kama una pumbu moja mzee.
Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.
Haaaahaaaaa,huyu legend sijui Yuko wapi?Mzuqa Deo. Vipi ujamjulia hali kasusura?
Kabisa mkuu!Asante kwa mchango wako murua. Samatta ni kijana wetu.
22:45Hii game SAA ngapi