Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
22:45
Utakuwa wapi huo muda?Huo mda duh!
Hahaha dah wabongo sio watu wazuri...hata mimi nikitoka leo utaskia mnasema "yule jamaa angu toka enzi za utotoni,hata nickname yangu ilkuewga citizen A"Hili ni chama langu la utotoni,maana mimi ni mzaliwa wa haya maeneo ya VILLA PARK, huu uwanja upo mkabala na nilipokuwa naishi na ndipo nilipoanza kuishabikia na kuipenda hii timu.....
Go go go go Villa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida ......
Tupo pamoja na Samatta kupeana Updates zote hapa .
Mechi ya kwanza ya Samatta Leo 28-01-2021
Aston Villa Vs Leicester City
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Utakuwa wapi huo muda?
Unalala saa 22 mlevi wa pombe za kienyeji!!!Ntakuwa nimelala fofofo
Huna tofauti na Nabii TitoNatabiri Samata atafanya vibaya EPL, na kwa kuwa watz hatuna succession plan kwa vipaji vyetu basi ndio habari yetu itakuwa imeishia hapa.
Yatakuwa yaleyale kama ya Hashim Thabit.
Unforgetable
Bongo wachawi hawaishi asee duuh, kazi ya kutabiria watu mabaya tuNatabiri Samata atafanya vibaya EPL, na kwa kuwa watz hatuna succession plan kwa vipaji vyetu basi ndio habari yetu itakuwa imeishia hapa.
Yatakuwa yaleyale kama ya Hashim Thabit.
Unforgetable
SMS Message: Not a fan of either team but excited to see the first Tanzanian playing for a Premier League team in Mbwana Samatta, first goal tonight and best believe Aston Villa is going to be in everyone's mouth in Tanzania tomorrow. from Nassor, Islington
Not a fan of either team but excited to see the first Tanzanian playing for a Premier League team in Mbwana Samatta, first goal tonight and best believe Aston Villa is going to be in everyone's mouth in Tanzania tomorrow.
Nassor, Islington
Mchaw wew broo
Sasa ndugu kweli unanunua star times ukitegemea kuangalia mechi kama hizi, pole sana