Aston Villa special thread (Blue army)

Aston Villa special thread (Blue army)

Hili ni chama langu la utotoni,maana mimi ni mzaliwa wa haya maeneo ya VILLA PARK, huu uwanja upo mkabala na nilipokuwa naishi na ndipo nilipoanza kuishabikia na kuipenda hii timu.....

Go go go go Villa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha dah wabongo sio watu wazuri...hata mimi nikitoka leo utaskia mnasema "yule jamaa angu toka enzi za utotoni,hata nickname yangu ilkuewga citizen A"
 
Kama kawaida ......

Tupo pamoja na Samatta kupeana Updates zote hapa .

Mechi ya kwanza ya Samatta Leo 28-01-2021
Aston Villa Vs Leicester City

Sent from my SM-J700H using Tapatalk

Channel gani ya Supersport wataonyesha leo leo usiku?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Azam tv wataonyesha hii game,kwahiyo kinyumbani nyumbani zaidi
 
Natabiri Samata atafanya vibaya EPL, na kwa kuwa watz hatuna succession plan kwa vipaji vyetu basi ndio habari yetu itakuwa imeishia hapa.

Yatakuwa yaleyale kama ya Hashim Thabit.

Unforgetable
 
Natabiri Samata atafanya vibaya EPL, na kwa kuwa watz hatuna succession plan kwa vipaji vyetu basi ndio habari yetu itakuwa imeishia hapa.

Yatakuwa yaleyale kama ya Hashim Thabit.

Unforgetable
Bongo wachawi hawaishi asee duuh, kazi ya kutabiria watu mabaya tu
 
Get Involved
#bbcfootball or 81111 on text
SMS Message: Not a fan of either team but excited to see the first Tanzanian playing for a Premier League team in Mbwana Samatta, first goal tonight and best believe Aston Villa is going to be in everyone's mouth in Tanzania tomorrow. from Nassor, Islington
Not a fan of either team but excited to see the first Tanzanian playing for a Premier League team in Mbwana Samatta, first goal tonight and best believe Aston Villa is going to be in everyone's mouth in Tanzania tomorrow.
Nassor, Islington
 
Back
Top Bottom