Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,452
Bonge la mtu huyo jamaa, Man united wanamtaka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau MADISON
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemsahau MADISON
Unafanya nini nyuma yakeSamagoal tuko nyuma yako leo.
Hata kwetu hapa Buza wamekata...Huku kwetu Wamekata Umeme Huko Kwenu Vp Wadau
Nyie mlie tu 😂😂
SS3 & SS10
Unavunga mkuuKwny hiyo mechi ntakua namuangalia beki wa kati fundi sana Caglar Soyuncu
Kwny midfield kuna fundi mmoja anaitwa Wilfred Ndidi bonge la defensive midfielder.
Af kwny winga kuna mtu mmoja fundi sana dunia haitak kumtambua,anaitwa Ayoze Perez, ana umatemate mwingi sana
Tusipangiane furaha tafadhal, kila mtu aangalie kinachomfurahisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natabiri mechi ya leo Aston Villa wataibuka ni ushindi mnonoLeo nd'o leo.
Macho ya watanzania wengi wapenda michezo yataelekezwa katika jiji la Birmingham. Katika uwanja wa Villa Park unaomilikiwa na klabu ya Aston villa kutakuwa na mtanange wa nusu fainali ya pili kati ya Aston villa na Leicester city.
Katika mechi ya kwanza timu hizi zilitoka sare ya moja kwa moja. Hivyo mchezo wa leo ni muhimu sana kwakuwa mshindi atapata tiketi ya kucheza fainali.
Macho ya watanzania wapenda soka yatakuwa kwa kijana wao, nahodha wa timu ya taifa, Mbwana Ally Samatta.
Samatta anakuwa mchezaji wa kwanza mtanzania kucheza katika timu iliyopo katika ligi kuu ya uingereza.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya update za mechi hiyo kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Kama upo mbali ya runinga kaa hapa, utapata kila kitu kuhusu mechi hiyo.
Karibuni sana.
Naitwa Six Man.
Sent using Jamii Forums mobile app