Aston Villa vs Leicester City Liveupdate.

Watamzania wanafiki sana,
Ishu sio samata kufunga, ishu ilikua hata asipofunga, basi timu yake iende FAINALI,

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue sio Samatta kufunga, issue ni Samatta kucheza katika kiwango bora ili aendelee kupata namba katika kikosi cha kwanza.
Wewe unafikiri Samatta akiwa anakaa benchi watu wataendelea kuangalia mechi za Aston Villa?
Watanzania tunataka kuona Aston Villa inasonga mbele lakini Samatta awe "chachu" ya Aston Villa kusonga mbele.
Kwahiyo Samatta akicheza chini ya kiwango lazima tuseme, kama kusema ukweli ndio "uchawi" basi acha tuwe "wachawi".
 
Aston villa 2-1 Leicester city..

Villa kafuzu fainali kwa aggregate ya 3-2..

Anansubiri mshindi kati ya
Man city vs Man Utd
Mechi inachezwa kesho..

Game ya kwanza Man u alikufa 3-1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha dunia bwana eti Samatta anaenda kumuona pep guardiolla live

Daa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…