wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Stats" mbovu kabisa.
Rafiki samatta anajua unamdiss hivi kweliUlitaka nisemaje labda Msukule?
Sidhani kama yupo, hio ni hatua pia na historia , sasa wachawi kila saa ooh samata kazingua sijui.hafungi, na huku walisahau lengo kwamba timu ishinde na iende fainali uwanja wa WEMBLEY ..Hv kuna mtanzania amewahi kucheza Wembley
Sent using simu mbovu
Sidhani kama yupo, hio ni hatua pia na historia , sasa wachawi kila saa ooh samata kazingua sijui.hafungi, na huku walisahau lengo kwamba timu ishinde na iende fainali uwanja wa WEMBLEY ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmm hilo jina umekosea ukiandika hivo ni mwanamke
Issue sio Samatta kufunga, issue ni Samatta kucheza katika kiwango bora ili aendelee kupata namba katika kikosi cha kwanza.Watamzania wanafiki sana,
Ishu sio samata kufunga, ishu ilikua hata asipofunga, basi timu yake iende FAINALI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief.Rafiki samatta anajua unamdiss hivi kweli
Upo sahihi.. But he will improveSamatta alikuwa anazurura tu uwanjani.
Kuna watu wameumia [emoji23]Watamzania wanafiki sana,
Ishu sio samata kufunga, ishu ilikua hata asipofunga, basi timu yake iende FAINALI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho ninachokitaka kutoka kwa Mtanzania mwenzangu.
Kivipi? si mpaka wachukue kombe?Aston Villa wakishinda hii game tuhesabu washafuvu Europa League msimu ujao.