Calm down bro, that guy is easy to handleUs*nge* wa Wajinga wengi kama nyie ni wakutaka watu duniani wawe na akili muharo kama zako(Hatuezi fanana fikra).
We kama Umeona tuko vizuri kimpira ni mtizamo wako ila mimi sijaona na ndo maana nimesema tuombee tupate bora zaidi(huu mi mtizamo wangu) na sijataja mtu. Sasa kwa kuwashwa washwa kwako unataja waume zako huko.
Umekali kukariri naponda mafanikio yake ili inisaidie nini?
Sasa we kiazi ebu fanya siku yangu nisione vizuri...halafu unahisi kuañdika kingereza ndo unantishaaa..!!!hahaaa.....nimekumindi Sana kumtishia mwana kua uta mreport....wewe Nani Hadi utishie watu...umeshiba zako uji na kande kuja kutisha watu humu..??Kwanini unanitukana aisee una tatizo lolote na mimi au maoni yangu?
Na wivu wa kike huwa ukoje huo?
Tafadhali jibu kistaarabu if you wanna end your day well.
Kwa hiyo neno report waliliweka kama pamboSasa we kiazi ebu fanya siku yangu nisione vizuri...halafu unahisi kuañdika kingereza ndo unantishaaa..!!!hahaaa.....nimekumindi Sana kumtishia mwana kua uta mreport....wewe Nani Hadi utishie watu...umeshiba zako uji na kande kuja kutisha watu humu..??
Mtayamalliza maneno yote kuhusu samatta lakini mwenzenu is here to stayNina wasiwasi anaweza tolewa mkopo......asipotokewa kwa mkopo msimu ujao akabweteka ataondolewa
Hukuna anayemuombea Ku fail ila hajaclick,kusifia tu ni kuzidi kumpoteza,kumkosoa kunampa nafasi ya kujisahihisha.Mtayamalliza maneno yote kuhusu samatta lakini mwenzenu is here to stay
Samatta n toothless striker ashazeeka ni old achez kisasa anasibir kulishwa mpira hana drible z kutosha LABDA ABADILIKEMtayamalliza maneno yote kuhusu samatta lakini mwenzenu is here to stay
He's There not here!Mtayamalliza maneno yote kuhusu samatta lakini mwenzenu is here to stay
Anafkiri kila mtu anatishika🤣🤣🤣anatishia nyau ...[emoji2][emoji2][emoji2]
Unanipangia?He's There not here!
Wewe mwenye kitu unaakula vumbi tuSamatta hakuna kitu