Aston Villa ya Samatta yanusurika kushuka daraja

Aston Villa ya Samatta yanusurika kushuka daraja

Us*nge* wa Wajinga wengi kama nyie ni wakutaka watu duniani wawe na akili muharo kama zako(Hatuezi fanana fikra).
We kama Umeona tuko vizuri kimpira ni mtizamo wako ila mimi sijaona na ndo maana nimesema tuombee tupate bora zaidi(huu mi mtizamo wangu) na sijataja mtu. Sasa kwa kuwashwa washwa kwako unataja waume zako huko.
Umekali kukariri naponda mafanikio yake ili inisaidie nini?
Calm down bro, that guy is easy to handle
 
Kwanini unanitukana aisee una tatizo lolote na mimi au maoni yangu?

Na wivu wa kike huwa ukoje huo?
Tafadhali jibu kistaarabu if you wanna end your day well.
Sasa we kiazi ebu fanya siku yangu nisione vizuri...halafu unahisi kuañdika kingereza ndo unantishaaa..!!!hahaaa.....nimekumindi Sana kumtishia mwana kua uta mreport....wewe Nani Hadi utishie watu...umeshiba zako uji na kande kuja kutisha watu humu..??
 
Sasa we kiazi ebu fanya siku yangu nisione vizuri...halafu unahisi kuañdika kingereza ndo unantishaaa..!!!hahaaa.....nimekumindi Sana kumtishia mwana kua uta mreport....wewe Nani Hadi utishie watu...umeshiba zako uji na kande kuja kutisha watu humu..??
Kwa hiyo neno report waliliweka kama pambo
 
Nina wasiwasi anaweza tolewa mkopo......asipotokewa kwa mkopo msimu ujao akabweteka ataondolewa
 
Nimeiangalia vizuri jana Aston Villa,kiujumla ili Samatta aweze kuwa mfungaji mzuri kunahitajia forward wazuri wa kushirikiana naye,nimemuona akiwa anategemea kupata michongo ya mipira kuja mbele lakini ilikuwa ni michache sana,unaweza usione sasa hivi anafanya nini lakini anaweza kuchezea timu yenye forward wazuri kama Liverpool akafanya maajabu.

Ki ujumla Samatta bado atabakia kuwa ni mfungaji mzuri sana na ninatabiri msimu ujao anaweza hata kununuliwa na timu nyingine zinazofanya vizuri EPL...
 
Mlio comment hapa wote hamjui mpira.
Mchezaji anapobadili timu mara nyingi hua kuna mda inabid a adjust na new formation. For very few hua inachukua mda mfupi. Most players ina take longer.

Na hili hata makocha wanalielewa.
So give the guy some more time.
Kwako mwalimu kashasha.....
 
Wachangiaji wengi wa huu uzi wote tumezidiwa ukwasi na uwezo wa kimpira na Sammata, tulichomzidi kidogo ni wivu wa kutaka kumuona akifeli.
 
Back
Top Bottom