Mzee baba ume angalia mpira mpaka dk ya 70 ukazima tv nini.... hiyo draw ya moja kwa moja ya Chelsea na arsenal mbona sisi hatuja iona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shusha matokeo kaka wengine keshatulisha matango pori.Mzee baba ume angalia mpira mpaka dk ya 70 ukazima tv nini.... hiyo draw ya moja kwa moja ya Chelsea na arsenal mbona sisi hatuja iona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tarehe 28 tukutane hapa leicester city ni kipigo na samatta anatupia kama kawaidaMechi ya kwanza Villa anaenda pigwa na leiceater huku samatta akiwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile ni type erro game ilichimbika kwa bao 2-2Shusha matokeo kaka wengine keshatulisha matango pori.
Mkuu kuws mpole punguza chuki kwa kijanaToa upuuz wako, siwez kuacha kuishabikia gunners kisa huyo kijeba wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa ni kuondoka mzee wengerKiukweli Arsenal tuna hali mbaya jamani,huyu Unai alituharibia timu
Kosa sio Wenger ni huyu , Stan Kroenke mpuuzi..hataki kununua wachezaji wa gharama...Dangote akinunua hisa timu itarudia makali yake
Kwani tulimkosea nini huyo mzee? Kwani ulitaka akae pale milele sababu tu jina lake lilifanana na la timu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Laana hatukumtaka aendelee kaa kimya.
Kilichobaki ni kuliwazana tu Clkey[emoji23][emoji23], tunapata shida sana
Hakuna Laana hatukumtaka aendelee kaa kimya.