Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 560
- 845
Aston Villa ya Samatta yapanda nafasi ya 16 katika Ligi Kuu ya Uingereza na kujiweka sehemu salama kwa kuichapa Watford bao 2 kwa 1.
Mpaka sasa Aston Villa imecheza michezo 24 ya ligi na kupata point 25, imepitwa point 5 tu na Arsenal ambao wanashika nafasi ya 10 kwa kupata point 30 kwa michezo 24, Arsenal wakitoa droo na Chelsea kwa bao 2 - 2 katika mchezo wa leo huku mchezaji mpya huyo akitarajiwa kuanza kuichezea klabu yake mpya hiyo dhidi ya Leicester City.
Karibu Samatta, mashabiki wa Arsenal tumepata sehemu ya kujifichia.
Sent using Jamii Forums mobile app