Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
- Thread starter
- #21
Mtanzania wa kwanza kucheza English Premier League!Alienda kufanya nini Aston?....
Angesubiri timu bora angeweza kuumia huko Ubelgiji akafia huko huko na kusahaulika!
Huwezi kumlaumu sana, ilikuwa ni nafasi ya kihistoria ambayo labda isingekuja tena. Tusisahau hela iliyohusika pia. Vichwa vya habari vilichora picha halisi ya tukio hilo.
Ndio, unaenda timu ya mwisho kwenye ligi, lakini jiweke kwenye viatu vyake, wewe ungefanyaje?