Mtanzania wa kwanza kucheza English Premier League!Alienda kufanya nini Aston?....
Mtanzania wa kwanza kucheza English Premier League!
Angesubiri timu bora angeweza kuumia huko Ubelgiji akafia huko huko na kusahaulika!
Huwezi kumlaumu sana, ilikuwa ni nafasi ya kihistoria ambayo labda isingekuja tena. Tusisahau hela iliyohusika pia. Vichwa vya habari vilichora picha halisi ya tukio hilo.
View attachment 1482231
View attachment 1482233
View attachment 1482237
View attachment 1482240
View attachment 1482242
View attachment 1482244
Ndio, unaenda timu ya mwisho kwenye ligi, lakini jiweke kwenye viatu vyake, wewe ungefanyaje?
hii timu sioni miujiza ya kuikwepesha kushuka daraja, ina changamoto nyingi kuanzi beki, kiungo mpaka striker, Samata mwenyewe naona hafiti kwenye huu mfumo sababu unahitaji striker anaye press hard na sikion hichi kwa Samata.Mpira unaendelea mechi ya kwanza baada ya lockdown; Mbwana Samatta anasugua! Dalili mbaya kwa Samatta.
Aston Villa 0
Sheffield United 0
Dakika ya 35
hii timu sioni miujiza ya kuikwepesha kushuka daraja, ina changamoto nyingi kuanzi beki, kiungo mpaka striker, Samata mwenyewe naona hafiti kwenye huu mfumo sababu unahitaji striker anaye press hard na sikion hichi kwa Samata.
Samata mpira wa pressing hawezi, Villa walikuwa wanahitaji aina ya striker kama Tammy Abram, striker mpambanaji, ndiyo maana kipindi wapo championship walionekana hatari kwa ajili ya Tammy...Tammy anakaba, anahold, anapress na anafungaNa mimi nashangaa kwa nini kocha Dean Smith haoni kwamba kule mbele Samatta peke yake hawezi.
Mashabiki wa Villa wanasema hajafunga goli wala hajasaidia timu kutafuta goli, maana mpira wenyewe hagusi.
Alipogusa akaruka akatulia mgongo, chali! No contact, no foul.
Physical fitness in question.
View attachment 1482326
Kocha Dean Smith tatizo, na yule midfielder captain Grealish nae tatizo.Tatizo la Aston Villa ni kocha, timu waliyonayo siyo ya kushuka daraja.
Inaonekana hakuna sauti inayowaunganisha kucheza kitimu. Kila mchezaji ana agenda yake.
mwenyewe inaniuma Samata kuwa kuchomeshwa mahindi, ila niwe mkweli Samata kwenda EPL alifanya wrong choice ingawa ni ndoto yake na kwetu pia mashabiki wake.Kwa hiyo umefurahi Masatta kuwa benchi..
Watanzania sijui lini tutathamini vya kwetu
Mbagala wamempa hilo jina😬Nimefurahi Masatta kuwa benchi...?
Masatta ndio nani ???
Kuna watu Ni Kama mashetani, hawaoni Kama hiyo Ni hatua. Kile ndiyo kiwango chetu kwa wakati huu, pale alipofika Samatta Ni jitihada Binafsi. Kitaifa hatuna mikakati. Tunahitaji kumpongeza na kumtia moyo.Kwa hiyo umefurahi Masatta kuwa benchi..
Watanzania sijui lini tutathamini vya kwetu
sijajua kwanini watanzania wengi wenu mnachukia jamaa kutusua UK EPLAston Villa ni kitimu cha kawaida tu kama hii timu anayochezea Lamine Moro.
Ndio mrithi wa Samagoal au?