Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha magumu sana aisee. Asubuhi asubuhi mtu anawaza kutapeli. Halafu sijui hawajui kuwa tulishawastukia! Kuandika kwenyewe hawajui. Wanadhani kila mtu anaishi nyumba ya kupanga. Wanasaikolojia wakisaidie hiki kizazi. Ajira zimekuwa ngumu sana View attachment 3095957
Kazi ni mapema kabisa, mahesabu jioniMaisha magumu sana aisee. Asubuhi asubuhi mtu anawaza kutapeli. Halafu sijui hawajui kuwa tulishawastukia! Kuandika kwenyewe hawajui. Wanadhani kila mtu anaishi nyumba ya kupanga. Wanasaikolojia wakisaidie hiki kizazi. Ajira zimekuwa ngumu sana View attachment 3095957