Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
SERIKALI ya Tanzania imezindua rasimu ya mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje yenye urefu wa kilomita 112 kwa kiwango cha lami yenye thamani ya Sh bilioni 494 lengo ikiwa ni kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo. Mradi huo ambao ujenzi wake utakamilika katika kipindi cha miezi 36 na itajengwa umbali wa takribani kilomita 15 kutoka kati kati ya jiji la Dodoma.
CC: Teargass Nicxie mwaswast Zigi Rizla sevenup Depay komora096 pingli-nywee Matrixx
CC: Teargass Nicxie mwaswast Zigi Rizla sevenup Depay komora096 pingli-nywee Matrixx