Habari ya kazi wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa na mengineyo.
Nimerudi kwenu nikiwa na furaha tele..... hatimaye yule aliyekuwa amejaa moyoni mwangu na kunifanya hata nikose usingizi kwa kumuwaza yeye yuko mikononi mwangu. Ninamshukuru Mungu kwani alinipatia ujasiri wa hali ya juu wa kumwambia japo nlitumia njia ya kuwa anonymous hadi leo tarehe 08/03/2012 (siku ya wanawake) nilipoona nijitokeze live kwa ID yangu. Ukweli ameonesha kukubali na kuniahidi kunithamini na kunipenda. Naomba mzidi kuniombea katika uhusiano huu kwani ukweli uko moyoni mwangu kwamba "I LOVE THIS PERSON" na hata kama hatakuwa mume wangu (kwa sababu ndoa hupangwa na Mungu) basi awe rafiki wa karibu, niongee nae, nione smile yake, nimhug basi mie nitaridhika. Sitapenda kumpoteza kamwe.
Mwisho, ninawashukuru wote kwa ushauri wenu na Mungu awabariki.