At last he is on my hands

At last he is on my hands

Yoriyori

Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Habari ya kazi wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa na mengineyo.

Nimerudi kwenu nikiwa na furaha tele..... hatimaye yule aliyekuwa amejaa moyoni mwangu na kunifanya hata nikose usingizi kwa kumuwaza yeye yuko mikononi mwangu. Ninamshukuru Mungu kwani alinipatia ujasiri wa hali ya juu wa kumwambia japo nlitumia njia ya kuwa anonymous hadi leo tarehe 08/03/2012 (siku ya wanawake) nilipoona nijitokeze live kwa ID yangu. Ukweli ameonesha kukubali na kuniahidi kunithamini na kunipenda. Naomba mzidi kuniombea katika uhusiano huu kwani ukweli uko moyoni mwangu kwamba "I LOVE THIS PERSON" na hata kama hatakuwa mume wangu (kwa sababu ndoa hupangwa na Mungu) basi awe rafiki wa karibu, niongee nae, nione smile yake, nimhug basi mie nitaridhika. Sitapenda kumpoteza kamwe.

Mwisho, ninawashukuru wote kwa ushauri wenu na Mungu awabariki.
 
Hongera Yoriyori,

Furaha yako, furaha yangu pia.
Ukikaa na mtu mwenye furaha siku zote na wewe uliye karibu yake wapata raha.

Nakuombea awe wako kiukweli!
 
ooooo7, imenikumbusha nyimbo ya musical youth.

Hongera sana.
 
ooh! Lakini hii inanipa wasiwasi kabisa... Ukitaka kuwa respect ndani ya bar basi kuwa mapenzi na kazi!
 
Amekuimbia with u everything is well well u make his heart do ..
 
Hongera Yoriyori,

Furaha yako, furaha yangu pia.
Ukikaa na mtu mwenye furaha siku zote na wewe uliye karibu yake wapata raha.

Nakuombea awe wako kiukweli!

True dat,mchezea mav* hakosi kunuka!!
 
hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha.new relationship ina raha yake.ukionana nae unatamani asiondoke,ukiona msg yake,kabla ya kuisoma,unajikuta una smile peke yako.ukiongea nae kwenye simu,unajikuta unacheka cheka tu,pengine bila hata ya kuchekeshwa.hongera and enjoy yourself
 
Nakudedicatia ule wimbo wa "mwana huyooo anaolewa...mahari ishatolewa hahaha hongera maya.... wanawake tuwe jasiri kama wewe.! wengine tukipenda tunaishia kukumbatia mito na kumwaga machozi. ujasiri wa kutoa yale yatuumizayo hatuna
 
Neno!

Hasa hapo penye msg, meno thelathini na nje yote mbili.

hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha.new relationship ina raha yake.ukionana nae unatamani asiondoke,ukiona msg yake,kabla ya kuisoma,unajikuta una smile peke yako.ukiongea nae kwenye simu,unajikuta unacheka cheka tu,pengine bila hata ya kuchekeshwa.hongera and enjoy yourself
 
ukipenda sana,pale male mapenzi yanapoenda zigzag,dunia yote unaiona chungu
 
heeeee we kweli baunsa wa mapenzi...congz ma!:lol:
 
Hongera! Mi bado hakijaeleweka mwezi wa tatu sasa huu naendelea kubembeleza tu!! Niongezee maujanja basi na mimi nivute changu!
 
kaza buti all the best.be careful
 
Back
Top Bottom