At last nimekuwa miongoni mwenu

At last nimekuwa miongoni mwenu

rodian

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
246
Reaction score
323
Habari.
Mimi ni moja ya memberz wapya katika familia ya jamii forum,ninafuraha kujiunga na jamii forum kwani ilikuwa ni moja ya ndoto zangu kujiunga na kushare idea,siku zote nilikuwa nikiifuatilia bila kujiregister sasa rasmi nimmoja kati yenu,natumaini nitajifunza mengi kutoka kwenu pia ninaomba mnipokee kwa mikono miwili.
Natanguliza shukrani.
 
Hiyo atlast sikuielewa vzr mpk niliporudia tena kusoma......sawa karibu
 
Hahaha,oow asante mkuu!
 
Asante #johnman ! Wanasema kutimiza ndoto ni moja ya hatua ktk maisha.
 
Karibu, nina swali moja utahudumu kwa miaka mingapi humu jukwaani, kwasababu kuna member wanakuja na kupotea? Kwako mgeni.
 
Huduma yangu itakuwa unlimited #h120 ,citegemei kuyayuka.
 
Mmh,hakuna mtu aliye niconvice mkuu,huwa napenda thread za humu zipo unique sana. Au unamaanisha member aliye niconvic mkuu?
 
Back
Top Bottom