Elections 2010 At last nitapiga kura tar. 31/10/10

Elections 2010 At last nitapiga kura tar. 31/10/10

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
Ni furaha iliyoje kuwa tar. 31 nitapiga kura kwa kuwa jina langu limeonekana kwenye mbao za ambako majina yaliyobandikwa na NEC. Nimehakikisha kuwa na kujiridhisha kuwa nililoliona ni jina langu na number ya kituo cha kupigia kura nimekifahamu. Hivyo mgombea wangu kipenzi cha watu Dr. wa kweli kura yangu ni kwako siku ikifika. Je wewe mwenzangu emeshahakiki na kuona kuwa umo katika watakaopiga kura?
 
Mi pia safi sana.Kura yangu kwa Slaa,Mbunge ni Mdee. Wewe je?Kura hii ni kwaajili ya kumkomboa mlalahoi.Wewe je?
 
Mimi na wote wa karibu yangu kura ni kwa Slaa
 
Back
Top Bottom