youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Japo sio wote watafanikiwa ila at least nina uhakika vijana wanne kati ya kumi watapata kazi.
This is proved, hizi elimu zetu zimeletwa na wazungu, zinafundishwa pia kwenye nchi zao.
Kwahiyo ukishapata hii elimu mfano sheria, afya, sayansi zote, etc itumie kuwasaidia kazi kwa kufanya freelancing na remote jobs.
Hajaenda chuo miaka mitano kupoteza muda wako.
Mwisho wa siku unatakiwa kujaribu vitu 100 ili upate kimoja kitakachokupa matokeo
Sina motivational screenshot