...haya sasa?! ...tena ukiuma uma majibu, ati na taa anawasha halafu anakaa kitako kitandani
akuone vizuri usoni....!
Yaani kama vile mchina wuuuuu...ahaaaaa...mbona chumba kitageuka kituo cha polisi......lolWe desh desh akisema kamzimia JUMA kwakati wa maongezi utashtukia?
Hahaha. . . labda alikua anamuota mpenzi/mume wake bana. Ila kama unataka raha kutana na wale wanaoongeaga usingizini. . .wanaweza wakakwambia chochote bila wao kujua....kuna mrembo mmoja alikuwa anashikilia besela la kitanda kabisa huku anapiga 'push up' kwa kunogewa na 'penzi' la kwenye ndoto yake, hapo hata ukimpiga ngumi aamke akuambie alikuwa anamuota nani? zero!....anajifanya anakoroma eti!
Ungejua wanamakosa by default setting
hata usingewatetea.
Yaani kama vile mchina wuuuuu...ahaaaaa...mbona chumba kitageuka kituo cha polisi......lol
Yaani Lizzy haya mambo yaache tu inaweza kuwa ndoto lakini kidume sielewi...lol...uliishaona mtu anaamshwa usingizini kuulizwa alichokuwa anaota halafu mwenyewe anabaki kupiga miayo na kushangaa nini kinaendeleaKwasababu utakua ulikua unamsikiliza muda wote au kwasababu kagusa button ambayo ni sensitive?
Hahaha. . . labda alikua anamuota mpenzi/mume wake bana. Ila kama unataka raha kutana na wale wanaoongeaga usingizini. . .wanaweza wakakwambia chochote bila wao kujua.
Alafu Mbu hapo kazi ni kumsoma tu mtu wako. . . kama amekaa kiSpecial intelligence/lawyer basi unakua mwangalifu na maneno yako kukwepa unnecessary "cross examinations" na investigations, kama amekaa kiShrink basi unajitahidi kuongea, kama amekaa kiSales person unajiandaa kusikiliza mpaka utakapoambiwa "haya nimemaliza".
Yaani Lizzy haya mambo yaache tu inaweza kuwa ndoto lakini kidume sielewi...lol...uliishaona mtu anaamshwa usingizini kuulizwa alichokuwa anaota halafu mwenyewe anabaki kupiga miayo na kushangaa nini kinaendelea
...lol, anaweza kukupiga swali la kiintelijensia, wakati unatafuta jibu anakubandika swali la nyongeza ki 'psycho' halafu wakati unaanza kujibu, anakukatisha ki sales person! Mtu mmoja huyo....!
kisha anakufyonza "...♫mmmnnnxxxxxxxxxiiiiiii!......♫!" utadhani yeye ni mama aliyekuzaa...
Lolzzzz. . . .
Huyo anakua kakuamulia aisee sio bure. Yani full kukomoana.
can anyone share at least four key access to understanding our darling women??
....na hii ndio dhumuni ya mada hii ya kamanda MTM...
Ila kuna wengine nafikiri ni kukomoana aisee...lolHahaahahaha. . . . Hapo utakuta kisa alikua anaguna huku mkono ukibinya mkono wako kwa nguvu. Kaaaazi kweli kweli.
Ila kuna wengine nafikiri ni kukomoana aisee...lol
Hayapungui labda nigeuzwe msukule...lolUkipunguza mapenzi nyumbani desh desh anaaza visa vya aina hiyo. . . utabadilika bila kupenda.
Hayapungui labda nigeuzwe msukule...lol
Thanks MWali... i picked my subject; nikaona kumwelewa mwanamke ni more important kwangu kutokana na yaliyonizungukaKwani ni women tu? you cannot understand human beings. Sometimes hata we mwenyewe hua unafanya kitu na kujishangaa, unashindwa kujielewa. Process ya kujielewa ni maisha yote, hadi siku ya kufa, mtu akajaribu kumwelewa mwenzie? tena hajaribu kumuelewa mwanamke mmoja, anataka kuwaelewa wote kwa pamoja kama vile wanatoka manufacture?
I never used the word ALL aiseeEven so, you still don't need to understand ALL women, you can not understand ALL women, not even if you dedicate your whole life trying to. And when you fail to understand those who surrounds you, you can not generalize and say ALL women can not be understood.So my point is still the same, try to understand your woman at home (dada, mpenzi,mama,dada wa kazi), your woman at work (co-workers) na mtaani.