Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Mbu wala usilalamike
wanamme wana makosa kila siku
afu haombi hata msamaha
afu The Wandering Hand Theory inaendelea kama kawaida.
wanamme wana makosa kila siku
afu haombi hata msamaha
afu The Wandering Hand Theory inaendelea kama kawaida.
...haya sasa?! ...tena ukiuma uma majibu, ati na taa anawasha halafu anakaa kitako kitandani
akuone vizuri usoni....!