At least sisi bodaboda hatutafikiwa na AI, wasomi mjiandae kuwa jobless

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Nasikitika sana kuwatangazia wasomi, na wasomi wanaokuja, ivi imagine era hii ya 2026, mtu anaenda kusoma software engineering, Bora anaesoma computer science anaweza kujikita kwenye hardware akawa fundi simu/laptop.

Wakati huu AI inaweza kutengeneza website au application yoyote ile vizuri na ni mwaka 2026 vipi mwaka 2030? AI itafanya mambo mangapi makubwa?

Mimi nimeanza kumsoma sir jeff kwenye thread yake tokea mwaka 2015/2017 akizungumzia mapinduzi ya AI kwenye soko la ajira, means watu wengi watakua replaced kwasababu ya AI, kampuni ambayo ilikua inahitaji watu 30 kufanya kazi zake zitawapunguza lazima.

At least sisi bodaboda hatutafikiwa kabisa na hii habari ya AI.

Mimi naungana nawashauri VETA ndio suluhisho kabisa, VETA Kwa Africa ni ngumu sana kuwa replaced na AI, tena sasaivi VETA wametoa habari za wanafunzi kuvaa uniform/sare, hakuna kuvaaa sare, akachukue ujuzi wake, ukishachukua ujuzi basi ni rahisi kujiajiri na kufungua ofisi ukawa fundi na mmiliki ofisi, sio lazima uajiriwe serikalini..
 
Sema umefikiri kibodaboda sana.

Wasomi wakikosa ajira kwa AI watanunua bodaboda na kuwa bodaboda kama wewe. Soko la abiria litabaki lilelile ila madereva wa bodaboda watakuwa wameongezeka
 
Boda boda zitavamiwa na wasomi, lakini wakati huo, utasikia kuna pikipiki za kujiendesha zenyewe, labda tuwekeze nguvu na mali zetu kwenye kilimo,
Huko mbele hali ni mbaya kwa kila mmoja
 
Bodaboda bhana unaweza kumkuta kijiwen kwakwe amekaa kwenye boda yake huku kausingizi kanampitia kiaina, sasa akubebe kwenye boda hiyo spidi atakayotokanayo hapo daah, hivi huwa mnatukimbiza hivyo ili muwahi kurudi kulala kijiweni kwenu au
 
Back
Top Bottom