Elections 2010 Atagombea wapi?

Ndiba,

Sitaki kuamini the prezidaa can do such a thing!!Lol!!:whistle:

... if a barmaid is currently Minister of State, meaning that FYATU chairwoman of Wanawake, just for starters, whatelse CHA AJABU.
Alerted is what we ought to be as we aint seen nothing yet (quoting Ronald Reagan). IS ON TRACK.
 

mkuu umenena, this young fela anaweza dhani yupo kwenye mstari kwa sababu he gets whatever he wants, but believe me baada ya father wake mzee wa visasi kumaliza muda wake dogo atafilisika mbaya..na hivi watu hawamzimikii father wake sema bongo unafiki so wanakuwa wanamdeku tuu akishaachia ofisi tuu wee utaniambia..mm siku zote namcheki namuacha cuz' i know he aint going far unless, aachane kabisa na njia alizopitia father ake ingawa namuona yuko mule mule, makundi, visasi n.k..
 

:A S-rose::A S 103::A S-rose:
 
Isee ur rite, yule mama ni one big mess of this government, mi nadhani ni zaidi ya barmaid, fyatuuu, lakini ndo minister eti..bongo bwana, acheni mr. Tu awatukane live, watu washachoka, nalaumu population ya vijana ambao we on the same track, wala hatutaki mabadiliko, tutapiga kelele hapa weee mwisho wa siku we get back home, pata bia, kula kitimoto (kwa wakristu), life goes on..lets change guys..
 
I mean Ridhiwani. Maana anaweza akaukwaa Unaibu Waziri fulani hivi... I know you think I'm crazy..
Yes you must be crazy MM,
How far are yiu sure that Muungwana atarudi tena ikulu...
MM,Mbona un atuchawia hivyo kaka
 

Mkuu Pasco naona unachemka tu...Babaako akiwa Mkulima sio lazima na wewe uwe mkulima,na haina maana kumuandaa ridhiwan et coz babaake ni rais..kama ana kipaj kitaibuka tu chenyewe (kama angekuwa nacho kingekuwa tayar kimeonekana)
 
This topic...I feel like throwing up. Ile kuona kuwa watu humu wana-contemplate hii possibility (siwalaumu, hawana kosa) makes me sick! Really sick....
 
Anaweza kupewa hata ubunge wa kuteuliwa. Hakutakuwa na cha kushangaza Mkjj, kwani huoni watoto wa waheshimiwa wote wamejazana CCM kama vile hakuna sehemu nyingine ambayo wanaweza kufanya kazi? Kimeshakuwa chama cha kifalme hicho ukilinganisha na miaka iliyopita kilipokuwa chama cha wakulima na wafanyakazi, kama huna jina kubwa la kiheshimiwa basi we URIE TU!
 
Sitashangaa siku ikitokea kwani Tz ni nchi ya vituko, na wa Tz watakuwa wako kimya tu bila kuhoji
 

Pasco na wewe bwana, Nani atampa admission ya Yale/Havard???????
 
Mwanakijiji

You are too fast..Yes even January atapata unaibu waziri katika wizara Nyeti..Yes we Know..Nadhani Ridhwani atateuliwa,kugombea ni kumpa kazi kubwa sana

Ni wazi binadamu wote huwa tunafanya makosa...but if JK appoints hawa watoto zao ili kutimiza azma ya kuanza kuingiza vijana kwenye uongozi kama alivyosema, then he will be making fatal error in judgment. Those kind of mistakes normally cost a fortune in the real world. I dont think he would be ready to blindfold himself and take that rough road...it will mean that a person has decided to be crazy
 
Kazi bado ipo mkuu. Ikiwa ameweza kumchagua mwanae kuwa kiongozi kwenye msafara wa kukusanya orodha ya wadhamini wake atashindwa ktk hilo? Wala hujakosea mkuu,hilo linawezekana na hatuna uwezo wa kuliulizia. Tusubiri tuone.
 

Kama ameweza kumteua mwanae kuwa mwenyekiti wa kumtembezea form ya kutafuta wadhamini, atashindwa nini kumteua kuwa mbunge na waziri wa wizara fulani? Unabisha kitu ambacho tayari kinaonekana? Kwa JK ugenius au ucrazy hauapply. Yeye yupo unique. Mambo mengi anayafanya anavyojua mwenyewe. Ni completely unpredictable.:mmph:
 
Nadhani Ridhwani kuteuliwa kwa viti maalum hata JK mwenyewe ataona aibu. ila kusema CCM itamzawadia jimbo hilo linaweza kwa zaidi ya %80. Na probability ya mbunge kuchaguliwa akiwa CCM ni kubwa ndio hivyo.

Kinachouma hawa jamaa hawajui kwa nini Julius nyerere aliua tawala za kifalme. Then wao wanzirudish kwa style nyingine. Bora tawala kifalme za kikoo zirudi kuliko ufamle unaoanza kuota mizizi kwenye serikali.

Hivi Nyerere hakuwa na uwezo wa kuwajenga wanae kisiasa? Kwanini baba asimwambie mtoto subiri nikae pembeni na wewe uanze kujijenga
 
Ila Mwanakijiji
naona bora kama unaibu Muheshimiwa JK akamuiga mseven ampe mama tena awe uwaziri kabisa. labda inaweza kupunguza kamzigo kiduchu kuwa taifa gharama za ufirst lady. maana hata protocol viongozi wengine wanasahau bora awe waziri .

unaweza kushangaa ziara/agizo/ tamko/ la mama Jk kuhus issue fulani ya wanawake na watoto linapewa uzito /covarage kubwa zaidi kuloko tamko la waziri wa Jinsia.

Mengineyo Hivi wenzagu na nyie mnapata tatizo kufanya editing za post au ni mimi peke yangu. Mod jaribuni kungali hii kiti. Saving an Edited post ina tatizo
 

Mkuu some points to ponder!

1. Mbona Makongoro Nyerere alipogombea ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tkt ya NCCR MAGEUZIhakuna aliyekuwa akimuhusisha na baba yake?

2. Mbona Ipyana Malecela alipotaka kugombea uenyekiti wa UVCCM hakuhusishwa na baba yake?

Well kwa mifano hiyo miwili inaonyesha kwa hawa vijana kuna mienendo tofauti inayooenyesha they are not standing by themselves. And people can see that na ndiyo maana wanaongea!

3. Kwamba Riz alikuwa kiongozi UDSM is just ridiculous, maana uongozi wa pale UDSM especially uwaziri ambao hata mimi niliwahi kuwa nao ni cheo cha kupewa na mara nyingi haiangalii uwezo. It is just mahusiano yako na Rais au Vice- pres aliyechaguliwa. No vetting, no backgoundchecks and no clear qualifications. You would have made a point kama ungetuambia alikuwa kiongozi wa nini na lifanya nini different na waliomtangulia otherwise it is just putting yourself in the tank of these youngmen who have no known accomplishements working for the society.

4. Just a reminder, hii ni mara ya kwanza kwa historia ya Tanzania ambapo we have a president na familia yake bize kuusaka uraisi kwa awamu nyingine.
 

Mkuu Pasco,

Hapo kwenye mkolezo na msisitizo wa underlined words ... ina maana huyo mheshimiwa ndiyo anaandaliwa kuwa mkuu wa kaya wa awamu ya 5?
 
MWKJJ, kwa huyu muungwana sitaona ajabu akiteuliwa, maana sababu itaku anajua atakompata Ridhiwani. RAISI raisi (cheap President!!). Angesubiri muda wake kwanza ndio huyu kijana aingie kwenye siasa.
 
Mzee mwenzangu Gembe, atagombea (somewhere in Pwani....i guess) ili apate legitimacy ya kupewa unaibu. Kuteuliwa itakuwa ni kubebwa kulikotukuka. Lakini ndiyo demokrasia ndani ya CCM.

Kwani ww mwanakijiji inakuuma sana akiukwaa unaibu waziri?Mbona mnapenda sana kujadili mambo ya watu badala ya mustakabali wa Taifa?Badilikeni jamani hii nchi ni ya wote wewe na mimi tunaruhusiwa kuwa viongozi na kuongozwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…