You mean Prince Ridhwan? This is crazy.
akigombea poa coz akichaguliwa ina maana watu wameona anafaa! tusilaumu kisa eti ni mtoto wa prezidaaa inawezekana hata ni kichwa kuliko prezidaaa!! watanzania tumejijengea ktu cha ajabu sana tena sana kiasi kwamba hata kizuri sasa hv tutakiona worse kikiwa worse ndo tunaoa yeap! lets think big!
kiongozi hapo juu big up sana mdau there u ar! Hawa watu wanaboa na wakiendelea na hii tabia ya kuwalaani watoto wa viongozi kwa kuangalia tabia za wazazi wao watalaaniwa wao! Nimeudhika sana na kitendo hcho! Hawa watoto wana uwezo wao wenyewe bana! Watajisikiaje mnavowasema mbovu hv? Simsome na nyie kama mna uwezo tutawasupport! Wangekuwa wazazi wao ni wanasoka nao wawe wanasoka hata jamii nzima mngesifia mpka mwisho wa uhai wao! Lets think big
Keil,Mkuu Pasco,
Hapo kwenye mkolezo na msisitizo wa underlined words ... ina maana huyo mheshimiwa ndiyo anaandaliwa kuwa mkuu wa kaya wa awamu ya 5?
Nyambala,Mkuu some points to ponder!
1. Mbona Makongoro Nyerere alipogombea ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tkt ya NCCR MAGEUZIhakuna aliyekuwa akimuhusisha na baba yake?
2. Mbona Ipyana Malecela alipotaka kugombea uenyekiti wa UVCCM hakuhusishwa na baba yake?
Well kwa mifano hiyo miwili inaonyesha kwa hawa vijana kuna mienendo tofauti inayooenyesha they are not standing by themselves. And people can see that na ndiyo maana wanaongea!
3. Kwamba Riz alikuwa kiongozi UDSM is just ridiculous, maana uongozi wa pale UDSM especially uwaziri ambao hata mimi niliwahi kuwa nao ni cheo cha kupewa na mara nyingi haiangalii uwezo. It is just mahusiano yako na Rais au Vice- pres aliyechaguliwa. No vetting, no backgoundchecks and no clear qualifications. You would have made a point kama ungetuambia alikuwa kiongozi wa nini na lifanya nini different na waliomtangulia otherwise it is just putting yourself in the tank of these youngmen who have no known accomplishements working for the society.
4. Just a reminder, hii ni mara ya kwanza kwa historia ya Tanzania ambapo we have a president na familia yake bize kuusaka uraisi kwa awamu nyingine.
Mbona Vita yuko mjengoni?, nenda Riz nenda Janu pia nenda, Nape nae aende, kama Fred ana interest pia aingie, William pia aingie, Kina Steve na Niko pia kama wana interest nao waacheni waingie. Tuwahukumu hawa vijana with their own merits na sio kutokana na majina yao ya ubini.
Mkuu Pasco, Mbona kama unalinganisha mbingu na ardhi? Simba wa vita hakusigina kanuni 'kumwandalia' kijana wake 'ukuu'. Vita katokea vumbini kufika hapo halipo na si kubebwa kwa mbeleko kama matendo yanavyoonyesha sasa!
Anaweza kupewa hata ubunge wa kuteuliwa. Hakutakuwa na cha kushangaza Mkjj, kwani huoni watoto wa waheshimiwa wote wamejazana CCM kama vile hakuna sehemu nyingine ambayo wanaweza kufanya kazi? Kimeshakuwa chama cha kifalme hicho ukilinganisha na miaka iliyopita kilipokuwa chama cha wakulima na wafanyakazi, kama huna jina kubwa la kiheshimiwa basi we URIE TU!
.Nyambala,
Nimekusoma,
Issue ya huyu kijana sasa inageuka kuwa obsession, hata akikohoa ataandikwa au kuulizwa kwa nini amekohoa.
Tofauti ya Riz na Makongoro au Ipi (RIP), ni wao wali bid wakati baba was out of power, huyu kijana baba ndio yuko in power na yeye ana power yake binafsi kupitia UV-CCM na kuzidi kuonekana tishio kuwa atabebwa na baba wakati ukweli ni kuwa apaishwa tuu na umaarufu wake kujumlisha umashuhiri wa baba kiasi hata kupelekea Mzee Mwanakijiji kuingia kwenye this low discussion.
Turudini kwenye maslahi ya Taifa.
labda kwao Bagamoyo/pwaniAtagombea one of the majimbo ya Dar es salaam......
Huko nyuma niliwahi kubashiri kuwa Ridhiwani atapewa Ubunge wa Chalinze huko kwao na mbunge wa sasa Maneno atapewa kazi ya kuwa DC Mkuranga!!!
aaagghrr na awe chochote Babake anachotaka awe.... tushajichokea...!