Atakae kuwa tayari kuwa Mke

Atakae kuwa tayari kuwa Mke

CDO

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Natafuta mke wa kuoa kuanzia miaka 21-24,awe mkiristo,sijali kama ameajiriwa au la..kikubwa ajitambue na asiwe mtu wa skendo,makabila yote ila kasoro pande za kaskazini..Umri wangu miaka 26..kama yeyote atakaeweza anipm!..NIKO SIRIAZ.
 
hapo sijakuelewa kwa nini?
 
hapo sijakuelewa kwa nini

MAANA;
Mikoa ya Kilimanjaro,Arusha,Manyara nk.
 
Natafuta mke wa kuoa kuanzia miaka 21-24,awe mkiristo,sijali kama ameajiriwa au la..kikubwa ajitambue na asiwe mtu wa skendo,makabila yote ila kasoro pande za kaskazini..Umri wangu miaka 26..kama yeyote atakaeweza anipm!..NIKO SIRIAZ.

lol...
wenzako wote wamekimbilia huko wewe unajidai?
haya ngoja ukichoka kutafuta utawafuata tu..
 
Siku uchumba kuapply upate ni ngumu kuliko kusaka kazi kwenye international ngo!
 
Yaani mwanaume mzima unatafte mke jf? Pathetic
 
We Segwanga mambo kama huyawezi potezea sio kila k2 uchangie.ulitaka aje kwenu aulizie? Bac mwelekeze ni wapi atapata mke kama alivyoomba.JF ni sehemu yeny wa2 wa kila aina,acha wenye busara zao wamsaidie au m2mie namba ya ndg yako yeyote asiyekuwa na mwelekeo akusaidieni.
Punguza ujuaji.mke mwema anapatikana popote hata bar,sembuse mtandaoni.
 
Yaani mwanaume mzima unatafte mke jf? Pathetic
Hebu wacha kutuvunjia heshima Wanaume, yaani huyu mtoto wa miaka 26 tangu lini akawa Mwanaume, jifunze kutofautisha kati ya Mwanaume na mtoto wa kiume.
 
We Segwanga mambo kama huyawezi potezea sio kila k2 uchangie.ulitaka aje kwenu aulizie? Bac mwelekeze ni wapi atapata mke kama alivyoomba.JF ni sehemu yeny wa2 wa kila aina,acha wenye busara zao wamsaidie au m2mie namba ya ndg yako yeyote asiyekuwa na mwelekeo akusaidieni.
Punguza ujuaji.mke mwema anapatikana popote hata bar,sembuse mtandaoni.

Umeonaa eee KUWEDA? kuna watu wana viherehere vya majibu utazani sijui ninis sijui,ilimradi tu aonekane nayeye kachangia.
 
Pole ndugu yangu miaka 26 unataka kuoa? hahahah pole sana maana unataka kuongeza matatizo na upunguze umri wa kuishi..

ila kila laheri utawapata tu
 
Kweli kuoa wito! Mie nagonga 30 hata haraka sina...

eniwei kijana endelea kutafuta..ila hiyo exception ya KASKAZINI sijaipenda...unaweza kutuambia kwanini lakini!??
 
Pole ndugu yangu miaka 26 unataka kuoa? hahahah pole sana maana unataka kuongeza matatizo na upunguze umri wa kuishi..ila kila laheri utawapata tu
I got married at the age of 23 years, sasa ndoa yetu ina zaidi ya miaka 12, mimi na mke wangu tunaishi kwa furaha na upendo huku watoto wetu wote watatu wakiendelea vizuri na masomo yao! Sijidai, ila maisha yetu hayana dhiki kabisaaaa.... sisi ndo tunawasidia ndugu zetu! Msiwatishie watu eti 26 si umri wa kuoa! Tena mie naona amechelewa, wasukuma njoeni hapa ndugu zangu mseme kama nadanganya! Kuoa ni uamuzi tu, japo omba Mungu pia upate mke/mme mwema!
 
Back
Top Bottom