Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Lolote chini ya awamu hii linawezekana. Hebu nimuulize Lucas Mwashambwa msemaji wake.Hamna eneo mkuu na mto wenyewe msimbazoi, hamna mto pale.
Kujenga mradi kama huo ni kuongeza joto tu mjini aisee.Lolote chini ya awamu hii linawezekana. Hebu nimuulize Lucas Mwashambwa msemaji wake.
Siku hizi umeme unakatika zaidi ya mara nne kwa usiku mmoja! Hatujui nini kinahamishwa usiku huo.
Eeh bora tujinunulie vibot vya kutembeleaWazo langu ni kujenga mfereji mpana kuanzia sarenda hadi Kinyerezi ili tutumie maji ya mkondo wa bahari kusafiri kwa boat.
Mamkwe wangu, mambo?Eeh bora tujinunulie vibot vya kutembelea
Duuuh! πππkitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani,
Sasa inakuwaje kwani tulichoahidiwa kimekwenda alijojo.Kujenga mradi kama huo ni kuongeza joto tu mjini aisee.
Unaishi Mtera na hujawahi kufika Dar. Ukisikia bonde la mto Msimbazi unadhani ni sawa na bonde la mto Mtera. Tembea upanue akili.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Tutanunua toka Ethiopia.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Usinyime vya kuninyima mkweMamkwe wangu, mambo?