Magufuli ndio alituweza watanzania. Maana tunatabia ya kuropoka tu, ndio maana huo muda wa kupokea ushauri alikuwa hana
Una bomba la gas kutoka Lindi hadi Dar, ambalo lina feed Kinyerezi.
Bomba ambalo uwezo wake kwa sasa unatumika chini ya 20%. Kwa Dar Es Salaam unahitaji gas power plant (ambayo ni reliable source) au another hydro power energy? To you utilise gas capacity.
Hiyo Kinyerezi yenyewe aifanyi kazi at full capacity, maana ina uwezo wa kuudumia Dar bila ya shida, TANESCO wanadai tatizo ni miundombinu isiyo na uwezo wa kupokea umeme.
Hizo info TANESCO wametoa kwa miaka kadhaa.
Halafu leo anatokea mkazi wa Dar ambae hajui sababu ya shida za umeme wa Dar, Achilia Kinyerezi; JNHP kuna turbinę 12 wanatumia 6 mpaka 8 kwa sababu wakiwasha zote hawajui huo umeme wa ziada utaenda wapi.
Halafu unakutana na mada kama hii, akili zetu watanzania zinatutosha wenyewe.
Napata shida sina na mfumo wetu wa elimu ambao umekuza wasomi kudhani unaweza kutoa vitu tu kutoka kichwani kwako without references either background knowledge/info za shirika au through theory.
Sad, yaani watanzania wapo comfortable kutoa vitu kutoka vichwani mwao tu out of the blue; salaleh.