Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hili wazo alikua nalo Yusuph manji km angekua meya wa dar alitaka kufanya hiviWazo langu ni kujenga mfereji mpana kuanzia sarenda hadi Kinyerezi ili tutumie maji ya mkondo wa bahari kusafiri kwa boat.
Pale kuna uchafu wala si majiHamna eneo mkuu na mto wenyewe msimbazoi, hamna mto pale.
Duuh maji ya bahari tena? Yale yanayokuja na kuondoka? Huoni kwamba bwawa nalo litakuwa la msimu??Wazo langu ni kujenga mfereji mpana kuanzia sarenda hadi Kinyerezi ili tutumie maji ya mkondo wa bahari kusafiri kwa boat.
Hata tukinunua huko tutaambiwa eti umesafiri masafa marefu hivyo unachoka ndiyo dababu unakatikakatika, cheza na Bongo weye!Tutanunua toka Ethiopia.
Ni kuongeza kina tu kama bandari yetu tuDuuh maji ya bahari tena? Yale yanayokuja na kuondoka? Huoni kwamba bwawa nalo litakuwa la msimu??
Kwanini usiwaze umeme utokanao na upepo au mawimbi au jua??
Failure attemptNi kuongeza kina tu kama bandari yetu tu
Linawezekana kabisa ni kuongeza kina kama bandari yetu maji yaje JangwaniHili wazo alikua nalo Yusuph manji km angekua meya wa dar alitaka kufanya hivi
Utokanao na upepo tutaambiwa joto limezidi, mDuuh maji ya bahari tena? Yale yanayokuja na kuondoka? Huoni kwamba bwawa nalo litakuwa la msimu??
Kwanini usiwaze umeme utokanao na upepo au mawimbi au jua??
Nia ya Post yangu ni kuonesha kuwa kila mara tunaahidiwa kuhusu mafanikio ya miradi ya umeme lakini ahadi hizo huwa si za kweli, ksma tumeshindwa miradi mikubwa basi labda tujaribu vimiradi vidogo vya kichawi.Tutanunua toka Ethiopia.
Jografia ulisoma wapi?. We ishia kwenye mpira ndio walipoweza akili yako ccmHivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Kuielewa mada unahitaji akili kubwa si akili yakusikilizia uchambuzi wa mpira.Kwa akili hii ya mtoa mada, hata sidhani kama ana kitambulisho cha kupiga kura 😂
Nikupe elimu kidogo.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Sio mada zote n za kuelewaKuielewa mada unahitaji akili kubwa si akili yakusikilizia uchambuzi wa mpira.
Mkuu wazo lako ni zuri ila kwa pale msimbazi ule mto ni wa msimu tu siyo wa kudumu labda tuishauri serikali kuanza kutengeneza umeme wa upepo kama nchi za ulaya.Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Duh! inasikitisha sana.Kwa akili hii ya mtoa mada, hata sidhani kama ana kitambulisho cha kupiga kura 😂