Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Nani anayasema hayo?
 
Saudi wanachuma pesa za maskini toka vinchi maskini vya kiafrika kama Burundi, Niger, Mali, Chad eti mtu anaenda kuhiji (baadhi kwa kujibana miaka kukusanya pesa , wakati hata kibanda hana, ukiwakuta pale Bole Int'l Airport (Addis Ababa) wakisubiria ndege ET utawaonea huruma mtu mzima kajifunga shuka utadhani katoka jando. Anawapelekea Dola waarabu huko Saudia, yeye akirudi huku njaa kali Daah hizi dini hizi asee!
Dini haina lawama hapo Kwa sababu ishatangazwa mwenye uwezo basi afanye hio ibada
 
Too late my dear friend! By the way ISIS wanafanya hiyo kazi bila malipo. You and I know Saudi kingdom is on its deathbed.
Mkuu sijui hata sijakuelewaaaaa au unamaanisha nini ,sUPER POWER WANAGUSWA SEMBUSE SIJUI SAUDAAA
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.

Limesaidia tende?
 
Visima vya maji safi, tense na bandari

Dah! Kweli maskini mpe tu chakula asahau shida zake kwa siku 1. Yani waongelea visima vya maji au vya mafuta? Msaada wa Uingereza kwa serikali yako wa mwaka mmoja ni sawa na hayo yote jumlisha miaka yote uliyoijua hiyo Saudia
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Baada ya kugundua mwandishi yupo madina ya kwampalange,sipati shida na uwezo wake WA kifikra
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Ujinga ule ule unaofanywa na wakristo wahafidhina kutetea israeli. Aheri ujinga wa waislaam kutetea saudi arabia. Wakristo wanatetea kijinga kwelikweli nchi wala sio ya kikristo. Israeli dini yao ni wayahudi. Ni nchi yenye kutekeleza sera ya ubeberu na mauaji ya kikatili sana duniani dhidi ya wapalestina
 
anayesema hivyo ni nani wewe au tanganyika!
 
Saudia itapigwa tu one of these days, haiwezekani ifadhili magaidi wanaochafua dunia nzima halafu dunia tuwaangalie tu.
Saudi kama Serikali kwa sasa inapinga ugaidi. Qatari ndiyo ya kuipiga; mfadhili mkubwa wa magaidi wa Muslim brotherhood
 
Ujinga ule ule unaofanywa na wakristo wahafidhina kutetea israeli. Aheri ujinga wa waislaam kutetea saudi arabia. Wakristo wanatetea kijinga kwelikweli nchi wala sio ya kikristo. Israeli dini yao ni wayahudi. Ni nchi yenye kutekeleza sera ya ubeberu na mauaji ya kikatili sana duniani dhidi ya wapalestina
Mie sioni tofauti yoyote. Wote ni watumwa wa kiroho wajinga na maamuma wakubwa tu. Kwanini wasitete kwao wanapoteza muda kutetea kwa wenyewe tena wanaowadharau na kuwabagua kuliko hata wanyama? Wote ni wale wale ni kiazi na potato.
 
anayesema hivyo ni nani wewe au tanganyika!
Si ungemshauri huyo kumbaff aende huko kwao Saudia. Nchi gani takatifu jangwa na inayotawaliwa na washenzi wanaolindwa na Marekani taifa laanifu kuliko yote?
 
Back
Top Bottom