Atakayekutwa na hatia kwa kosa la "Shambulizi la aibu" atakuwa ni mjinga namba moja duniani

Atakayekutwa na hatia kwa kosa la "Shambulizi la aibu" atakuwa ni mjinga namba moja duniani

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
image-jpeg.603165


Ni hoja nyepesi sana kuijibia kwanini ulikohoa ulipopishana na mwanamke.

Wala haihitaji uwepo wa Peter Kibatala au Tundu Lissu(Kaka wa taifa) wala Fatuma Karume kuijibia kesi hiyo.

Hii ni kesi ambayo hata mtoto mdogo anayesoma shule ya msingi minazi mirefu anaweza simama akashinda mahakamani dhidi ya "porise" mwenye manyota ambayo hayahesabiki begani kwake.

Ni kesi ambayo hata wale wenye broken za ajabu au vituko vilivyoteka JF kutokea kule Facebook wanaweza shinda .

Ni rahisi sana kujibu kesi hiyo kuliko kuelezea kwanini 10 gawanya kwa 5 ni 2.


Ni kesi ambayo hakuna mwanaJF anayeweza shindwa kujibu.

Kama sheria zinazokuja zitakuwa kama hii basi hakuna haja ya kwenda kusoma sheria maana ni kupoteza muda tu.Ukishindwa kujibu kwanini ulikohoa utakuwa sio mtanzania halisi wala mzao wa Adam.

Ni majibu marahisi kabisa yatakayomfanya jaji akupe ushindi.

Ukishindwa kuyasema utakuwa ni "raia wa ajabu kuwahi kutokea"

Upande wa mshtaki :Kwanini ulikohoa ulipopita mbele ya mwanamke?

Deadbody: Nilipaliwa na mate

Hayo ni moja ya majibu ambayo mshtaki hana ushahidi wa kuweka mahakamani.

Majibu yapo mengi ila nasisitiza kuwa ukitiwa hatiani jua wewe ndio KILAZA namba moja East Africa.

img-20180508-wa0005-jpg.771927
b

Deadbody.
 
Mwanamke mwenye maumbile makubwa ni subjective term inayotegemea na mtazamo wa mtu. Its a continous variation. Size or umbile is a [HASHTAG]#continuum[/HASHTAG] . There is no clrear cut dermacation. Its not a 'Nothing or All' scenario... So hakuna hata mtu mmoja anayeweza kupatikana na hatia juu ya hili. Ile ilikuwa ni chamgamsha genge ya polisi. By the way, wanawake wenyewe wanapenda kuchokozwa, na wao ndio waanzilishi wa uchokozi kwa kuvaa nguo za kichokozi. Sisi wanaume ni victims (rather beneficiaries) wa huo uchokozi wao.
By the way utafiti wangu unaonesha kuwa, wanawake wanaosemwa kuwa wanakosa raha kutokana na maumbile makubwa ndio wanaoishi maisha marefu kwa kuwa wana high self esteem and due to that, their marginal propensity to happinesses is extremely high.
Wito wangu kwa kamanda wa polisi, dont be fooled by a woman. Its extremely hard for a man to understand a woman. In most cases, mwanamke akisema hataki, ujue anataka! Akisema anachukia, kumbe ndio anapenda!
The only way to perceive women is through their actions, not their words.
 
Kuna kabinti jana kalikuwa kameongozana na msela wake. Basi kamevaa dera ila nyuma hakatingishiki 'kwa hiyari'. Basi kenyewe kanalazimisha kunesa nesa nyuma kiasi kwamba tembeya yake ni ile ya kurusha mateke kama ndama wa ng'ombe. Nikakahurumia sana nikatamani nikamnumulie kigodoro...
 
Mi mbona sielewi....nimemuona huyo mtoto pichani nimekohoa tayari...maana, dah....mashaallah!
 
Back
Top Bottom