Atakayenisaidia kufungua microfinance ya kukopesha wajasiriamali nitampa pesa

Atakayenisaidia kufungua microfinance ya kukopesha wajasiriamali nitampa pesa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hi ladies & gentlemen!

Vipi hii kitu inahitaji mtaji kiasi gani, na mizunguko yake ikoje mpaka kukamilika?

Aliye tayari aje pm tuyajenge?
 
Hi ladies & gentlemen!

Vipi hii kitu inahitaji mtaji kiasi gani, na mizunguko yake ikoje mpaka kukamilika?

Aliye tayari aje pm tuyajenge?
hello,
nimeona concern yako tunaweza kusaidiana mawazo na kufanikisha hii, binafsi nimekua kwenye industry hii tangu 2008 na nimefanya mikopo mingi tofauti tofauti , kuanzia ya vikundi , watu binafsi, watumishi wa umma, mikopo ya dhamana za kuweka kadi ya gari na mikopo ya moto (( inaitwa hivyo mitaani))

kifupi biashara hii ni nzuri sana kama utapata mshauri mzuri na kuweka sera nzuri na imara kwenye ukusanyaji .

nitafute tuone tunasaidiana vipi , 0773778874 email kanjahni@gmail.com
 
Back
Top Bottom