hello,
nimeona concern yako tunaweza kusaidiana mawazo na kufanikisha hii, binafsi nimekua kwenye industry hii tangu 2008 na nimefanya mikopo mingi tofauti tofauti , kuanzia ya vikundi , watu binafsi, watumishi wa umma, mikopo ya dhamana za kuweka kadi ya gari na mikopo ya moto (( inaitwa hivyo mitaani))
kifupi biashara hii ni nzuri sana kama utapata mshauri mzuri na kuweka sera nzuri na imara kwenye ukusanyaji .