Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
'na wamegomea mpira kuonyeshwa kwenye tv ila tutawapiga hivyo hivyo 'na uchawi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0--0 MkuuWAKUU.
MIMI NATABILI SIMBA KUANZA NA WACHEZAJI 11 WA KWANZA WAFUATAO.
1.Aishi Manuara.
2.Shomari Kapombe.
3.Mohamed Hussein.
4.Joash Onyango.
5.Pascal wawa.
6. Erasto Nyoni.
7.Luis Misquison.
8.Jonas Mkude.
9. John Bokko.
10. Clatus Chama.
11. Benard Morison.
USHINDI KWA SIMBA 3-1.
.1.Manura
2. Kapombe
3.M Hussein
4.wawa
5.Onyango
6nyoni
7.mzamiru
8.mkude
9.boko
10. Chama
11. Miquison
Mfumo 4:3:1
Sub. Beno, Morrison, bwalya ,ame,kagere, gadiel, dilunga
1. Aishi
2. Kapombe
3. Hussein
4. Joash
5. Wawa
6. Mkude
7. Ndemla
8. Chama
9. Boco
10. Kagere
11. Luis
Matokeo
Plateau 1 simba 2
,Mimi nadhani Simba wacheze formation ya 5-3-2 nyuma waanze na Manula kama kawaida beki wawe
Wawa
Onyango
Gadiel
Tshabalala
Kapombe
Ame
Nyoni
Mkude
Luis
Morisson
Boko/ Kagere kina kapombe na Tshabalala wanakuwa wanacheza kusaidia kiungo na wakati wanashambulia kupeleka timu mbele
Mechi ilishachezwa tangu last week, Leo kuna mtu atakufa 2 nil. 2 bila kwa Kisw. Ethnein bin sifr. Yeyote atakayecheza kwa malengo atashinda. Sitaki kusema ni nani, japo najua matokeo.WAKUU.
MIMI NATABILI SIMBA KUANZA NA WACHEZAJI 11 WA KWANZA WAFUATAO.
1.Aishi Manuara.
2.Shomari Kapombe.
3.Mohamed Hussein.
4.Joash Onyango.
5.Pascal wawa.
6. Erasto Nyoni.
7.Luis Misquison.
8.Jonas Mkude.
9. John Bokko.
10. Clatus Chama.
11. Benard Morison.
USHINDI KWA SIMBA 3-1.
Wanawake wengine huwa mnakuwa na roho za kichawi sana... Hapo ukiishi na mwanaume akagundua anakuacha baadaye mnasema wanaume wabaya ...kikosi sijui ila matokeo ni 4-0 na mkude naombea apigwe umeme
Wanawake wengine huwa mnakuwa na roho za kichawi sana... Hapo ukiishi na mwanaume akagundua anakuacha baadaye mnasema wanaume wabayaMikia akipigwa tatu atakuwa kajitahidi sana
tulia we bi halima kupigwa utapigwa tu hiyo kushinda moja haizuii kipigo wakija hukuWanawake wengine huwa mnakuwa na roho za kichawi sana... Hapo ukiishi na mwanaume akagundua anakuacha baadaye mnasema wanaume wabaya ...
Vp Aibu Yako Hii Utaipeleka WapiMwaka Jana tuliishia Hamsa, mwaka huu tunaanzia hapo kwenda juu! Kumbuka ni hesabu za kiarabu
KulikoniSimba anapigwa clean sheet ya 3-0
Aibu Aibu Aibu Mpaka LiniKarne ya 21 unaamini nyota?
. Bhudhaa umekariri maisha
. Wanga wenzio ndo wamekwambia hivo?tulia we bi halima kupigwa utapigwa tu hiyo kushinda moja haizuii kipigo wakija huku