Atakayetabiri kikosi cha Simba dhidi ya Plateu na idadi ya magoli ana Tsh 500,000

Mimi nadhani Simba wacheze formation ya 5-3-2 nyuma waanze na Manula kama kawaida beki wawe
Wawa
Onyango
Gadiel
Tshabalala
Kapombe
Ame
Nyoni
Mkude
Luis
Morisson
Boko/ Kagere kina kapombe na Tshabalala wanakuwa wanacheza kusaidia kiungo na wakati wanashambulia kupeleka timu mbele
 
1. Aishi
2. Kapombe
3. Hussein
4. Joash
5. Wawa
6. Mkude
7. Ndemla
8. Chama
9. Boco
10. Kagere
11. Luis
Matokeo
Plateau 1 simba 2
 
0--0 Mkuu
 
1.Manura
2. Kapombe
3.M Hussein
4.wawa
5.Onyango
6nyoni
7.mzamiru
8.mkude
9.boko
10. Chama
11. Miquison
Mfumo 4:3:1
Sub. Beno, Morrison, bwalya ,ame,kagere, gadiel, dilunga
.

Mkuu nimekipenda sana Kikosi chako.
tofauti Yetu mimi naanza na Morison 7 wewe unaanza na Mzamiru.

Niimemuweka benchi mzamiru kwa sababu za kiufundi.
ikitokea mchezaji yoyote wa kiungo ameumia ndio sub hiyo.

hatunana mwingine.
 
1. Aishi
2. Kapombe
3. Hussein
4. Joash
5. Wawa
6. Mkude
7. Ndemla
8. Chama
9. Boco
10. Kagere
11. Luis
Matokeo
Plateau 1 simba 2


kumbuka hapo ni ugenini unaenda na wachezaji zaidi ya watano wasiklokaba kabisa????????

Ndemla,chama, kagere,Boko, Luis na ukabaji wa mkude ni wa kusuasua.

utafungwa.
 
,

Hiki kikosi ni Balaa, HIKI NI CHA KUMPANGIA AL AHAL AU MAZEMBE UGENINI MKUU.
 
Mechi ilishachezwa tangu last week, Leo kuna mtu atakufa 2 nil. 2 bila kwa Kisw. Ethnein bin sifr. Yeyote atakayecheza kwa malengo atashinda. Sitaki kusema ni nani, japo najua matokeo.


Save this comment.
 
kikosi sijui ila matokeo ni 4-0 na mkude naombea apigwe umeme
Wanawake wengine huwa mnakuwa na roho za kichawi sana... Hapo ukiishi na mwanaume akagundua anakuacha baadaye mnasema wanaume wabaya ...
 
Wanawake wengine huwa mnakuwa na roho za kichawi sana... Hapo ukiishi na mwanaume akagundua anakuacha baadaye mnasema wanaume wabaya ...
tulia we bi halima kupigwa utapigwa tu hiyo kushinda moja haizuii kipigo wakija huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…