Atakayeweza kunisaidia kupata sms na calls nilizofuta

Atakayeweza kunisaidia kupata sms na calls nilizofuta

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,008
Habari waungwana,

Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa

Sasa lengo langu, nahitaji zaidi kupata sms zote za nyuma mwezi mmoja nyuma zote na calls, laini ni mtandao wa Voda maana niliomba statement Voda wakanipatia calls ambazo hazionyeshi muda, sasa mimi ninachohitaji zaidi ni sms

Kama yupo anayeweza kunisaidia Hilo swala naomba tuwasiliane PM
 
Kukosea kupo,
Kukosewa kupo Pia cha muhimu samehe na achilia , endelea na mapambano ya maisha.unayotafuta yanaweza leta shida zaidi
 
Back
Top Bottom