Atashangaliwa na kupigiwa meza na waliokataa reform toka mwanzo

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Bunge letu ni tv ya serikali na remote wanayo serikali.

Wale wabunge waliokataa reform toka mwanzo watamshangilia na kumpongeza Sana

Pale atakapowatangazia kwamba havunji bunge mpaka mwezi 8

Wale wa October tunatiki pia watashangilia

Walioita watu kenge nao watashangilia

Ndio ujue tuna nchi ya mazuzu kiasi gani ambao hawawezi kufikiri wanasaidiwa kufikiri na mwenyekiti wao.

Nasisitiza Tena No reform no Election!!
 
Kama vijana tunataka mabadiliko TUACHE kulalamika lalamika mitandaoni na mitaani.....contest vyeo vya kisiasa iwe ndani ya CCM au nje....mageuzi yanaletwa kwa matendo.
 
Wee upo hapa kufanya nini? Siyo ajabu ni chawa, au hata kunguni kabisa wa mafisadi yaliyomo ndani ya CCM!
 
Bunge letu ni tv ya serikali na remote wanayo serikali.

Wale wabunge waliokataa reform toka mwanzo watamshangilia na kumpongeza Sana

Pale atakapowatangazia kwamba havunji bunge mpaka October.

Wale wa October tunatiki pia watashangilia

Walioita watu kenge nao watashangilia

Ndio ujue tuna nchi ya mazuzu kiasi gani ambao hawawezi kufikiri wanasaidiwa kufikiri na mwenyekiti wao.

Nasisitiza Tena No reform no Election!!
Huyu Idd Amini Dada hawezi fanya hivyo,yuko na wasiwasi sana na uchaguzi
 
Kama vijana tunataka mabadiliko TUACHE kulalamika lalamika mitandaoni na mitaani.....contest vyeo vya kisiasa iwe ndani ya CCM au nje....mageuzi yanaletwa kwa matendo.
Huwezi kuungana na mkoloni kwa kigezo cha kupata uhuru, nitajie nchi moja walioungana na ukoloni ili kupata uhuru.

Lazima tuwe kinyume nao, hata mtandaoni tunavyoandika inawashambulia kisaikolojia, ndio maana huwa wanajibu
 
Back
Top Bottom