technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wee upo hapa kufanya nini? Siyo ajabu ni chawa, au hata kunguni kabisa wa mafisadi yaliyomo ndani ya CCM!Kama vijana tunataka mabadiliko TUACHE kulalamika lalamika mitandaoni na mitaani.....contest vyeo vya kisiasa iwe ndani ya CCM au nje....mageuzi yanaletwa kwa matendo.
Huyu Idd Amini Dada hawezi fanya hivyo,yuko na wasiwasi sana na uchaguziBunge letu ni tv ya serikali na remote wanayo serikali.
Wale wabunge waliokataa reform toka mwanzo watamshangilia na kumpongeza Sana
Pale atakapowatangazia kwamba havunji bunge mpaka October.
Wale wa October tunatiki pia watashangilia
Walioita watu kenge nao watashangilia
Ndio ujue tuna nchi ya mazuzu kiasi gani ambao hawawezi kufikiri wanasaidiwa kufikiri na mwenyekiti wao.
Nasisitiza Tena No reform no Election!!
UnafilimbwaKama vijana tunataka mabadiliko TUACHE kulalamika lalamika mitandaoni na mitaani.....contest vyeo vya kisiasa iwe ndani ya CCM au nje....mageuzi yanaletwa kwa matendo.
onaHuyu Idd Amini Dada hawezi fanya hivyo,yuko na wasiwasi sana na uchaguzi
Huwezi kuungana na mkoloni kwa kigezo cha kupata uhuru, nitajie nchi moja walioungana na ukoloni ili kupata uhuru.Kama vijana tunataka mabadiliko TUACHE kulalamika lalamika mitandaoni na mitaani.....contest vyeo vya kisiasa iwe ndani ya CCM au nje....mageuzi yanaletwa kwa matendo.