Awe Dr Josephat Gwajima, anaweza unganisha vyama vyote na akapigia kampeni amani. Sisi bara nikiwemo Mimi nitakwenda kumpigia kura na kampeni bure kabisaa.....anaonekana ana maono na vizazi vijavyo vya Tanzania bara na rasilimali zake. Hizi biashara za muungano sijui....mara upande mmoja una timu yake ya taifa, una bunge lake, una bendera yake, una Katiba yake, una jeshi lake, una serikali yake, mkopo unakopwa inagawanywa kote ila walipaji ni bara peke yao, huu si muungano bali ni umbu mbu mbu😃. Gwajima atokezee tumpambanie jamani