Rais haramu huyoPeaceful demonstration ya kumuondoa Rais?
Kudai uchaguzi huruPeaceful demonstration ya kumuondoa Rais?
Soma hii rafikiMkuu sio it was?
Tuachane na hayo, huyu ana kiburi cha madaraka lakini mbaya zaidi ana uchu wa madaraka, sio rahisi kuachia kizembe, yupo radhi aendelee kumwaga damu.
Hapa ni aidha raia wakubali kufa sana, kiasi serikali ione haya, lakini sioni serikali ikikubali kizembe