Ataufyata au ataendelea na makongamano ya kudai Katiba?

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,384
Reaction score
5,330
Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.

Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu UVCCM.

Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?

DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?

Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.

Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
 
Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.

sasa sisi wananchi bado tunamuona Mbowe na genge lake ni Gaidi kwa kuwa mahakama haikumsafisha.

Ni bora kama mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru ingekaa vizuri kuliko hii ya kufutiwa bado haijamsafisha mbowe, bado anaonekana ni Gaidi tu.
 
Inaeleweka furaha yenu ni kumfunga mbowe kwa njia yoyote nakuweza kumpteza kabisa lkni hamjui kwamba Mungu ndiye mpangaji wa hayo mnayompangia.


Ataendelea na shughuli zake za kikatiba ikiwa mtafanya kama mlivyofanya mwanzo anzani kutunga sarakasi mapema.


Wote walioshereheke na kufurahia nakusema mbowe ni gaidi kisa tu mmetofautiana kimtazamo Mungu awapige laaana na huwo ugaidi uwarejeee Wote waliokuwa na kauli hizo na vizazi vyao. Ameen.
 
Mbowe kwao ni kitu cha hatari zaidi ya ukoma
 
Leo mataga pori utaharisha damu kweri-kweri na mbaya zaidi kuna donge flani limekukaba kwenye koo ukimeza halitoki na ukitema halitoki.
 
Tutaanza na nyie Mataga zoez endelevu la kumkomboa Mtanzania.

No mercy there will be brutal permanent asskicking until all Tanzanians are liberated from this autocrat regime.
 
KUDAI KATIBA MPYA NI KOSA LA KISHERIA?
 
Huu uzi ni wakipumbavu

1. Unaonesha kwamba mbowe hakuwa gaidi badi alibambikiwa kesi kwa kudai Katiba Mpya
2. Kwamba katiba mpya si hitaji la wote bali la mbowe. poor you
 
Unateseka ukiwa
 
TBL weka stock ya kutosha leo hapakaliki mtaani, ni kama vile tumepata uhuru mara ya 2
 
Nyie Nyie ...mtakuwa wewe na Mkeo ,mama mkwe na shemeji zako...hata wazazi wako hawapo kwenye hiyo 'sisi"
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…