Ataufyata au ataendelea na makongamano ya kudai Katiba?

Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
 
Umeumia eeeh ITAPOA...
 
Pokea uponyaji katika jina la Yesu! Roho ya umauti ikutoke.
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
 

Umeweka mantiki sawa.
Hongera sana mkuu.
Mbowe amefutiwa mashitaka ya ugaidi na aliyempeleka mahakamani na si mahakama ndiyo imemsafisha kuwa si gaidi. Kwa mantiki hiyo Mbowe bado ni gaidi, maana alikuwa na kesi ya kujibu mahakamani, lakini hajathibitisha vinginevyo.
Hivyo ni mtu wa kumuepuka kama ukoma.
 
Baada ya kuangukiwa na kitu kizito sasa mmeamua kuja na post za kujifariji. Kila siku ulikuwa unasema mbowe ni gaidi atafungwa, sasa DPP kaona kuwa kesi ikiendelea mtavuliwa nguo mchana kweupe akaamua kuifuta kuwasititri
 
serikali ya ccm waache kujificha kwenye kichaka cha viongozi wa dini Mbowe siyo gaidi, Mbowe ni mshindi kwenye hii kesi ya mchongo
 
Leo mataga pori utaharisha damu kweri-kweri na mbaya zaidi kuna donge flani limekukaba kwenye koo ukimeza halitoki na ukitema halitoki.
Ujumbe wa habari njema Kwa ndugu yangu rafiki yangu Zandramo , aliyepakaziwa kuwa gaidi na wasiompenda hatimaye Kwa uwezo wa Mungu Yuko huru tena pamoja na wenzake. Upendo Kwa wote ni muhimu katika maisha.
 
Mbowe atakuuoa.
 
yaani kama ni matusi Mbowe amewapika mbele nyuma jamhuri na ccm mukome kumuonea mwamba
 

Lakini bado hajathibitisha vinginevyo mahakamani. Kumbukumbu za mahakama zinaonesha mbowe ni gaidi ambaye amefutiwa kesi na yule aliyemshitaki bila yeye kutoa utetezi wake.
 
Mk
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
Mkuu unafikiri watu wote Tz ninwapumbavu kama ukoo wenu😡
 
Na tukikuambia viongozi wa dini walio kwenda Ikulu waliitwa wakaongee kuhusu hiyo kesi na kujionyesha wana muomba Mama aiangalie kwa jicho jingine kama kiini macho kuficha aibu ya serikali wewe utasemaje?
Tangu mwanzo hapakuwa na kesi zaidi ya michongo.
Tunacho hitaji sasa ni kuona Siro na kundi lake la wahuni wana chukuliwa hatua kali kwa matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya kodi zetu. Period!!!!
 
Nani alikwambia kuwa makongamano ya katiba ni kosa la ugaidi nchi hii? Mawazo yako ni km ya Samia - kuwa unaweza kumnyamazisha mtu kwa kumbakia kosa!!
 
Usilolijua ni usiku wa giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…