Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu uvccm.
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?
DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?
Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
Mapambano ya kudai katiba mpya ndio yanapaswa kuanza upya na kwa kasi kubwa zaidi, hatuwezi kuendelea hivi jamani!Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu uvccm.
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?
DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?
Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
Hoja yako ingekuwa na uzito huo kama Mahakama ingemwachia huru baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha, pasipo na shaka, mashitaka dhidi yakeyaani kama ni matusi Mbowe amewapika mbele nyuma jamhuri na ccm mukome kumuonea mwamba
Kukuona Mbowe kama gaidi ni jambo jema make ugaidi wake unabeba ujumbe wenye kuwatatetea wanyonge. Uumbe ambao kwa asilimia kubwa haupendwi na wenye madaraka.Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.
sasa sisi wananchi bado tunamuona Mbowe na genge lake ni Gaidi kwa kuwa mahakama haikumsafisha.
ni bora kama mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru ingekaa vizuri kuliko hii ya kufutiwa bado haijamsafisha mbowe, bado anaonekana ni Gaidi tu.
Umeshasahau mashahidi +mtuo haki wote walichongwa🏃♂️Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.
sasa sisi wananchi bado tunamuona Mbowe na genge lake ni Gaidi kwa kuwa mahakama haikumsafisha.
ni bora kama mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru ingekaa vizuri kuliko hii ya kufutiwa bado haijamsafisha mbowe, bado anaonekana ni Gaidi tu.
Gushi dhahabu ya shaba, dhambi na dhawabu havighushikiWangeiacha mpaka mwisho ijulikane mbivu na mbichi ingemsaidia sana mbowe kuwa safi mbele ya jamii.
Leo mtalala na viatu.Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.
sasa sisi wananchi bado tunamuona Mbowe na genge lake ni Gaidi kwa kuwa mahakama haikumsafisha.
ni bora kama mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru ingekaa vizuri kuliko hii ya kufutiwa bado haijamsafisha mbowe, bado anaonekana ni Gaidi tu.
wameshindwa kesi serikali na dpp wakome kuwapotezea watu mudaHoja yako ingekuwa na uzito huo kama Mahakama ingemwachia huru baada ya Serikali kushindwa kuthibitisha, pasipo na shaka, mashitaka dhidi yake
una mav kichwani badala ya ubongoHii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu uvccm.
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?
DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?
Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
Mbona heading haiendani na ulichoandika? Kumbuka pia soon Kila aliyeko magereza kuwa alitenda makosa halo ya mamba hiyo yaweza kukuta hata wewe.Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu uvccm.
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?
DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?
Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
Hakuna kiongozi mwenye akili aliyemlilia Rais. Mwovu haliliwi bali hutakiwa aache uovu.Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu uvccm.
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?
DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?
Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe kakaa jela mwaka mzima na mliufyataTutaanza na nyie Mataga zoez endelevu la kumkomboa Mtanzania.
No mercy there will be brutal permanent asskicking until all Tanzanians are liberated from this autocrat regime.
Hao viongozi wa dini ni wamchongo kama hujui.Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama.
Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu uvccm.
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?
DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?
Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
Kumbuka kuwa, kwa ushahidi uliokuwa umetolewa, mahakama iliona ana kesi ya kujibuwameshindwa kesi serikali na dpp wakome kuwapotezea watu muda
Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.
sasa sisi wananchi bado tunamuona Mbowe na genge lake ni Gaidi kwa kuwa mahakama haikumsafisha.
ni bora kama mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru ingekaa vizuri kuliko hii ya kufutiwa bado haijamsafisha mbowe, bado anaonekana ni Gaidi tu.
Kwa uamuzi upi wa mahakama kwamba mbowe Ni gaidi?Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.