Ataufyata au ataendelea na makongamano ya kudai Katiba?

Watakaoufyata kwenye madai ya katiba mpya ni wananchi na siyo mbowe...........kwani katiba ni ya wananchi na siyo ya mbowe, tumeelewana?
 
KATIBA IPO PALE PALE
 
Hujui Sheria wewe kilaza sana kwani Mahakama imemkuta na Hatia?Aliyepeleka KESI Ameogopa kuendelea na Kesi
 
Lakini bado hajathibitisha vinginevyo mahakamani. Kumbukumbu za mahakama zinaonesha mbowe ni gaidi ambaye amefutiwa kesi na yule aliyemshitaki bila yeye kutoa utetezi wake.
Wangeendelea na kesi ili ajitetee halafu wamuone anakosa wamfunge tungejua kama ni gaidi kinyume chake wameona sio gaidi ndio wameamua kutoendelea na kesi.

Wanatengeneza tatizo wanaondoa tatizo ili waone ni wema.
MUNGU HAPENDI UNAFIKI yote wanayoyafanya kwa kumdhulumu mtu ujue MUNGU hatakuacha salama mpka utubu na umuombe msamaha uliyemdhulumu.
 
Kwan kuna masharti kwenye kuachiwaa lazima mambano yaendelee
 
Katiba mpya ni lazima.. SASHA ajiandae kisaikolojia kwa namna atakavyo shuhudia wenyenchi -wananchi watakavyopindua meza
 
Chini ya jua hakuna haki!! Wale wanaoimba haki ndo wamejaa dhuluma!! Ukitaka kuiona haki ikitawala hakikisha haukosi kwenye ufalme wa Yesu wa miaka 1000 hapa duniani ambamo haki inakaa ndani yake!!
Hakikisha unampa Yesu maisha yako uokoke na uachane kabisa na uovu!!
 
Umenena vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…